Matthew 9:28-29

28 aAlipoingia mle nyumbani wale vipofu wakamjia. Naye Yesu akawauliza, “Mnaamini kwamba ninaweza kufanya jambo hili?”

Wakamjibu, “Ndiyo, Bwana.”

29 bNdipo Yesu akagusa macho yao na kusema, “Iwe kwenu sawasawa na imani yenu.”
Copyright information for SwhNEN